Zoezi la Utangazaji wa Matokeo ya Jumla ya Uchagzui wa Rais 2020, likiendeleo katika Kituo cha Mikutano kimataifa Julisu Nyerere(JNICC), Jijini Dar es Salaam ambapo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage, amemtangaza Dkt.John Pombe Magufuli wa CCM kuwa mshindi wa kiti hicho kwa kura zaidi ya 12,516,252 sawa na asilimia 84.4.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), Mhe. Jaji Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akitangaza matokeo ya jumla Uchaguzi wa Rais ambapo Mgombea urais wa Chama cha Mapin...
Read More