Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt John Pombe Magufuli apiga Kura Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.
Oct 28, 2020
Na Msemaji Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) Dkt John Pombe Magufuli akitumbukiza karatasi ya kupiga kura katika kituo cha Ofisi ya Idara ya Maji Kijiji cha Chamwino Ikulu leo Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kupiga kura katika kituo cha Ofisi ya Idara ya Maji Kijiji cha Chamwino Ikulu leo Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) Dkt John Pombe Magufuli akionesha alama ya wino katika kidole chake kwa waandishi wa Habari mara baada ya kupiga kura katika kituo cha Ofisi ya Idara ya Maji Kijiji cha Chamwino Ikulu leo Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) Dkt John Pombe Magufuli akipiga kura katika kituo cha Ofisi ya Idara ya Maji Kijiji cha Chamwino Ikulu leo Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa kwenye mstari wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Ofisi ya Idara ya Maji Kijiji cha Chamwino Ikulu leo Mkoani Dodoma
Mke wa Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Mama Janeth Magufuli akipiga kura katika kituo cha Ofisi ya Idara ya Maji Kijiji cha Chamwino Ikulu leo Mkoani Dodoma

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi