[caption id="attachment_37333" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mkurungezi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la UNICEF, Nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Leila Pakkala alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma, Oktoba 24, 2018.[/caption]
Na: Mwandishi Wetu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama ameiomba UNICEF kuunga mkono jit...
Read More