Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Shein Ashuhudia Utiwaji Saini Mkataba wa Maafuta na Gesi Asilia
Oct 24, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_37349" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtawala wa Ras Al Khaimah Sheikh. Saud Bin Saqr Al Qasim, wakati wa hafla ya utiaji wa Saini ya Mkataba wa Mgawano wa Uzalishaji wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.[/caption]

[caption id="attachment_37350" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hafla ya Utiaji wa Saini ya Mkataba wa Mgao wa Uzalishaji wa Mafuta na Gesi Asili baina ya SMZ na Kampuni ya Rakgas ya Ras Al Khaimah.[/caption] [caption id="attachment_37351" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Viongozi wa Utawala wa Serikali ya Ras Al Khaimah wakifuatilia hafla hiyo ya utiaji wa Saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Uzalishaji wa Mafuta na Gesi Asili Zanzibar. hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_37353" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mtawala wa Ras Al Khaimah Sheikh. Saud Bin Saqr Al Qasim, wakishuhudia hafla ya utiliaji wa Saini Mkataba wa Mgawanyo wa Uzalishaji wa Mafuta na Gesi Asilia (PSA) Wakitia saini Waziri wa Ardhi Maji Mazingira na Maakazi Zanzibar Mhe. Salama Aboud Talib katikati na kulia Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Maendeleo ya Mafuta Zanzibar,Bi. Mwanamkaa Abdulrahman Mohammed,Mkurugenzi Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa RakGas Mr.Kamal Mohammed Ataya, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_37354" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya sherehe ya Utiaji wa Saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Uzalishaji wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar.iliofanyika katika hafla ya viwanja vya Ikulu Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_37355" align="aligncenter" width="750"] Mtawala wa Ras Al Khaimah Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasim akizungumza wakati wahafla ya Utiaji wa Saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Uzalishaji wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar , iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi