Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Idadi ya Wachangiaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) Yaongezeka
Oct 24, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_37323" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii leo jijinini Dodoma ambapo alisema wachangiaji wa mfuko huo wameongezeka kutoka wanachama 164,706 mwaka 2001/2002 hadi wanachama 873,012 septemba mwaka huu.[/caption] [caption id="attachment_37324" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa NHIF Bw.Bernad Konga akijibu maswali kutoka kwa wajumbe wa kamati ambapo alisema mfuko wake upo tayari kuanza mara moja kutoa huduma kupitia vifurushi vipya vitakavyojulikana kama JIPIMIE ili watanzania waweze kupata huduma za matibabu kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini.[/caption] [caption id="attachment_37325" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akifafanua jambo mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_37326" align="aligncenter" width="750"] Wakurugenzi wa NHIF wakipitia taarifa ya mfuko huo wakati ikiwasilishwa kwenye kamati mapema leo[/caption] [caption id="attachment_37327" align="aligncenter" width="750"] Waziri Ummy Mwalimu akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Idara Kuu Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya(mwenye miwani) na Mkurugenzi wa NHIF Bernad Konga[/caption] [caption id="attachment_37328" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe.Peter Serukamba akichangia taarifa hiyo[/caption] [caption id="attachment_37329" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wajumbe wa Kamati hiyo wakimsikiliza Waziri wa Afya(hayupo pichani)akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mfuko wa bima wa NHIF(Picha zote na Wizara ya Afya)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi