[caption id="attachment_15770" align="aligncenter" width="750"] Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Philip Mangula akikaribishwa ukumbini katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kilichoanza leo Jumatano ya Sept 27, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_15771" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiwasili ukumbini kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Sept 27, 2017 I...
Read More