Rais Atangaza Ajira Mpya 50,000 Zikiwemo 3000 za Jeshini
Na: Prisca Libaga, MAELEZO - Arusha.
Rais John Pombe Magufuli amesisitiza azma ya Serikali kuhamia Dodoma ambapo amesema kuwa mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka huu, Makamu wa Rais atakuwa amehamia Dodoma na kufikia mwakani yeye mwenye Rais atakuwa amehamia pia.
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo jijini Arusha baada ya kuwatuniku nishani ya Cheo cha Luteni Usu Maafisa wapya 422 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania, ambapo 314 kati yao wamehitimu katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi...
Read More