[caption id="attachment_14478" align="aligncenter" width="900"] Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Salim Msangi (mbele) leo akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Shirika la ndege Tanzania (ATCL), Mhandisi Ladislaus Matindi (hayupo pichani) aliyekuwa akiwasilisha mada kwenye Kongamano la Kwanza la Kitaifa la Usafiri wa Anga, lililoanza leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere.[/caption]
[caption id="attachment_14479" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na...
Read More