[caption id="attachment_21498" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya watanzania waishio nchini Canada, kwenye hoteli ya The Ritz-Carlton Toronto Oktoba 31, 2017.[/caption] [caption id="attachment_21496" align="aligncenter" width="750"] Watanzania waishio nchini Canada,wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipo kutana nao kwenye hoteli ya The Ritz-Carlton Toronto Oktoba 31, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]