Mkufunzi Mkazi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Mkoa wa Dodoma Bw. Habibu Muyula akisisitiza kuhusu umuhimu wa mafunzo kwa wasichana waliokosa elimu katika mfumo rasmi kutokana na kupata ujauzito wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma kukagua maendeleo ya wahitimu wa mafunzo hayo kwa awamu ya kwanza ambao ni matokeo ya mradi wa kuzuia mimba za utotoni unatekelezwa na Taasisi hiyo na washirika wa maendeleo.
Na Frank Mvungi
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) yaendelea Kuwawezesha Wasichana waolikosa elimu k...
Read More