[caption id="attachment_30836" align="aligncenter" width="640"] Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi akizungumza na wanajeshi wa nchi mbalimbali za Afrika (hawapo pichani) ambao wapo nchini kujifunza mambo mbalimbali ya sekta ya utalii nchini na mchango wake kwenye uchumi na namna ambavyo jeshi linashiriki kwenye ukuaji wake.[/caption]
Na Mwandishi Maalum-Dar es Salaam
JESHI la Wananchi licha ya kuwa na majukumu yake ya msingi ya ulinzi, limetajwa kuwa na mchango mkubwa kwenye utunzaji wa maliasili za nch...
Read More