Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Siku ya Pili ya Mafunzo Ya Uandishi wa Habari za Kitakwimu Jijini Dodoma
May 27, 2018
Na Msemaji Mkuu

Mtakwimu Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu  (NBS) Bw. Stephano Cosmas akiwasilisha mada kuhusu hali ya malaria hapa nchini wakati wa mafunzo ya uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma .

Mtakwimu Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bibi Phausta Ntigiti akiwasilisha mada kuhusu  faida ya lugha ya kitakwimu na takwimu wakati wa mafunzo ya uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma .

Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya uandishi wa habari za kitakwimu Bi Sharon Sauwa akisisitiza jambo wakati wa majadiliano ya washiriki wa  mafunzo ya uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma .

Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO  Bibi Beatrice Lyimo akisisitiza jamnbo wakati wa mafunzo ya uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma .

Meneja wa Takwimu  Idara ya Kodi  Bw. Fred Matola akisisitiza kuhusu umuhimu wa takwimu wakati wa mafunzo ya uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma kwa waandishi wa habari.

Sehemu  ya washiriki wa mafunzo ya  uandishi wa habari za Kitakwimu yanayofanyika Jijini Dodoma kwa waandishi wa habari wakimsikiza  Mtakwimu Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu  (NBS) Bw. Stephano Cosmas akiwasilisha mada kuhusu hali ya malaria hapa nchini.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Said Ameir akiwasilisha mada kuhusu faida za uandishi wa habari  unaotumia takwimu.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi