Na Mwandishi Wetu - Arusha
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) tayari umewalipa wanachama 750 waliokumbwa na sakata la vyeti “feki”, baada ya kuwasilisha madai yao na nyaraka stahiki.
Akizungumza wakati wa kikao kazi na wanachama wapatao 60 wa klabu ya waandishi wa habari wa jiji la Arusha kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC) leo Ijumaa Desemba 2, 2022, Meneja Uhusiano na Elimu kwa Wanachama PSSSF, Bw. James Mlowe amesema, zoezi la kuwalipa lilianza Novemba 1, 2022 na ni endelevu.
“Zoezi linaend...
Read More