Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini "Presidential Delivery Bureau"(PDB) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo. Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini "Presidential Delivery Bureau" (PDB) iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 02/12/2022. Baadhi ya Watendaji wa Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini " Presidential Delivery Bureau "(PDB) wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa taasisi hiyo iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 02/12/2022. Viongozi na waalikwa mbalimbali katika Taasisi za Serikali wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini "Presidential Delivery Bureau "(PDB) iliyozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 02/12/2022. Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiitikia dua iliyoombwa katika hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini "Presidential Delivery Bureau " (PDB) iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 02/12/2022. Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi (kushoto) na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa (mbele) wakiwa na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na Viongozi wangine katika taasisi mbalimbali za Serikalii ya Mapinduzi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini "Presidential Delivery Bureau"(PDB) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 02/12/2022. Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, Mhe. Jamali kassim Ali (katikati), Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid (kushoto) na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini "Presidential Delivery Bureau"(PDB) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 02/12/2022.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa