Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Mwinyi Asaini Kitabu cha Maombolezo Kufuatia Kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin
Dec 02, 2022
Na Jacquiline Mrisho

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisani kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China, Jiang Zemin alipofika ubalozi wa mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar leo 2-12-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisani kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China, Jiang Zemin alipofika ubalozi wa mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar leo 2-12-2022 na aliyesimama ni Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China aliopo Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar, Mhe. Zhang Zhisheng baada ya kumaliza kutia saini kitabu cha maombelezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China, Jiang Zemin leo 2-12-2022 katika ubalozi mdogo wa China Mazizini Zanzibar

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi