Tanzania na Korea leo Oktoba 27, 2022 zimetia saini mikataba miwili ambapo Korea itaipatia Tanzania mkopo nafuu wa Shilingi bilioni 310 kupitia Benki ya Exim ya Korea. Mikataba hiyo inahusu awamu ya pili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Shilingi bilioni 161 na mwingine ni Uendelezaji na Utunzaji wa Mfumo wa Taarifa za Ardhi Shilingi bilioni 149. Pichani, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu wa Korea, Han Duck – Soo wakishuhudia wakati, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba (k...
Read More