Katika hali inayoonesha kuwa mataifa makubwa duniani yameendelea kuonesha imani kubwa kwa Tanzania, Spika wa Bunge la Wawakilishi la Uingereza (House of Commons) Mhe. Sir Lindsay Hoyle, amempendekeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Rais wa Mkutano wa 153 wa Umoja Mabunge Duniani (IPU).Sir Lindsay amempendekeza Spika Zungu leo Oktoba 6, 2026 asubuhi wakati wa kikao ambapo awali, Rais wa IPU Mhe. Dkt. Tulia Ackson aliwaeleza wajumbe kuwa wanapaswa kumchagua Rais wa Mkutano huo wa 153 unaoendelea jijini Arusha.Baada ya maele...
Read More