Habari Katika Picha : Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson, akizungumza na wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani
Oct 08, 2026
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson, akizungumza na wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani katika mdahalo kuhusu afya ya mama na mtoto ulioandaliwa na Serikali ya Tanzania kwa wabunge wa IPU, Oktoba 08, 2026, katika Kituo cha Mikutano AICC, Arusha.
Na
Administrator