Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Habari Katika Picha : Mapokezi ya Mshindi wa Mashindano ya Miss Grand International, Miss Jihan Dimack
Oct 17, 2026
Habari Katika Picha :  Mapokezi ya Mshindi wa Mashindano ya Miss Grand International, Miss Jihan Dimack
Matukio mbalimbali ya picha yakionesha mapokezi ya Miss Grand International 2026, Jihan Dimack, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, Oktoba 17, 2026. Jihan amepokelewa kwa shangwe na nderemo na Watanzania, mashabiki wa urembo pamoja na wadau wa sanaa waliojitokeza kumpongeza kufuatia ushindi wake katika mashindano yaliyofanyika Bangkok, Thailand.
Na Administrator

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor