Habari Katika Picha : Shamra Shamra KIuelekea Uzinduzi wa Mji wa Serikali Mtumba Dodoma
Oct 30, 2026
Wananchi na vikundi mbalimbali vya ngoma za asili wakionesha burudani na shamrashamra za furaha wakati wakisubiri mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, hapa Stesheni ya SGR Dodoma, ambapo baadae atazundua rasmi majengo ya Ofisi, Wizara, Taasisi za Serikali, na barabara za lami katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Oktoba 30, 2026.
Na
Administrator