Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiipongeza Korea kwa kutoa misaada na mikopo yenye mashariti nafuu kwa Tanzania, wakati wa mkutano kati yake na Waziri Ofisi ya Uratibu wa Sera wa Korea, Mhe. Moon-Kyu Bang (hayupo pichani), jijini Dodoma, kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Emmanuel Tutuba.
Na. Peter Haule, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Korea kwa kutenga kiasi cha Dola za Marekani bilioni 1 zitakazotolewa kwa njia ya m...
Read More