Mkutano wa Saba wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Ukanda wa Maziwa Makuu (7th Ordinary Summit of International Conference of the Great Lakes Region Heads of State and Government).
Mkutano wa Saba wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) umefanyika leo tarehe 19 Oktoba, 2017 mjini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo. Mkutano huo umetanguliwa na Mikutano ya Awali katika ngazi ya Wataalamu wa Masuala ya Fedha, Wakuu wa Vyombo vya Usalama, Wakuu wa Majeshi, Waratibu wa Nchi (ICGLR National Coordinators) pamoja na Mawaziri wa Mambo y...
Read More