[caption id="attachment_20507" align="aligncenter" width="750"] Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R), Simistocles Kaijage, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Bw. Ramadhan Kailima na Mhandisi kutoka Wakala wa Majengo (TBA), Bw. Yohana Mashausi wakiwaongoza makamishna wa NEC kutembelea eneo la mradi wa ujenzi wa majengo ya ofisi za NEC jana. Mradi huo unafanyika katika eneo la Njedengwa Mjini Dodoma.[/caption]
Na Mwandishi wa NEC- Dodoma
Makamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wametembelea eneo la Njedengwa M...
Read More