[caption id="attachment_21102" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maombo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Agustine Mahiga akiongoza mkutano wa kwanza wa Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya miundombinu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Utatu wa COMESA-EAC-SADC (TRIPARTITE) leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_21103" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Agustine Mahiga(watatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya miundombinu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Utatu wa COMESA-EAC-SADC (TRIPARTITE) alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Mawaziri hao leo Jijini Dar es Salaam.[/caption]