Kitaajiri Wafanyakazi 1000
Kitaanza na uzalishaji wa tani 30,000 hadi 70,000 kwa Mwaka
Na Judith Mhina - MAELEZO
Agizo la Rais John Pombe Magufuli la kuipatia Kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) Group LTD ardhi yenye ukubwa wa ekari 10,000 kwa ajili ya kuwekeza katika kilimo cha miwa na ujenzi wa kiwanda cha sukari katika Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani limetekelezwa.
Msemaji wa Makampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) Group LTD, Bw Hussein Sufian ameiambia Idara ya Habari (MAELEZO) leo katika mahojiano maalumu ilipokuwa ikifuatil...
Read More