Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA
Serikali imewataka wananchi kutoa taarifa kuhusu hospitali zinazotoza fedha kwa ajili ya matibabu kwa akina mama wajawazito ili kuweza kuchukua hatua muhimu kukomesha hali hiyo.
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Hawa Chakoma lililohusu matibabu bure kwa mama wajawazito.
Dkt. Ngugulile amesema kuwa mama wajawazito ni moja ya makundi maalumu wanaostahili kupata...
Read More