Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

DK MABOKO AFUNGUA KIKAO CHA USAMBAZAJI WA RIPOTI YA TATHMINI YA MAZINGIRA YA KISHERIA KATIKA MWITIKIO WA UKIMWI MKOANI DODOMA
Mar 12, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_29248" align="aligncenter" width="800"] Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk.Leonard Maboko akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi kilichoanza leo Mkoani Dodoma.[/caption] Washiriki wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk.Leonard Maboko(hayupo pichani) wakati akizungumzia hali ya maambukizi ya UKIMWI nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk.Leonard Maboko akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi kilichoanza leo Mkoani Dodoma. [caption id="attachment_29251" align="aligncenter" width="800"] Washiriki wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk.Leonard Maboko(hayupo pichani) wakati akizungumzia hali ya maambukizi ya UKIMWI nchini.[/caption] [caption id="attachment_29252" align="aligncenter" width="800"] Washiriki wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk.Leonard Maboko(hayupo pichani) wakati akizungumzia hali ya maambukizi ya UKIMWI nchini.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi