Na: Mwandishi Wetu, OWM
Serikali kupitia Programu ya Miundombinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha vijijini (MIVARF) imeweza kuinua maisha ya wananchi wa Vijijini katika Wilaya ya Meru na Mbulu Mkoani Arusha katika kuongeza thamani ya maziwa na kilimo cha vitunguu saumu.
Akizungumza na wataalamu kutoka MIVARF Meneja wa Kiwanda cha Maziwa cha The Grand Demam Deo Temba alisema, tulikuwa tunasindika maziwa lita 300 kwa siku ambayo yalikuwa ni maziwa machache kulingana na uhitaji wa wananchi, lakini sasa tunaweza kusindika maziwa...
Read More