Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Abbasi Apewa Tuzo ya Uzalendo
Mar 22, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_29395" align="aligncenter" width="1000"] Katibu wa Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania (AWAMATA) Merinah Millensasha (kulia) akionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) cheti cha pongezi kwa kazi ya uzalendo inayofanywa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk Hassan Abbasi (katikati) na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto wa asasi hiyo, Mohamed Shaban.[/caption] [caption id="attachment_29396" align="aligncenter" width="1000"] Katibu wa Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania (AWAMATA) Merinah Millensasha (kulia) akimkabidhi cheti cha pongezi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk Hassan Abbasi (katikati) kwa kutambua kazi ya Uzalendo anayofanya, kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto wa asasi hiyo, Mohamed Shaban.[/caption] [caption id="attachment_29397" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk Hassan Abbasi (katikati) akionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) cheti cha pongezi kwa Uzalendo alichokabidhiwa na Katibu wa Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania (AWAMATA) Merinah Millensasha (kulia) na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto wa asasi hiyo, Mohamed Shaban.[/caption] [caption id="attachment_29398" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbasi (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kukabidhiwa cheti cha pongezi kwa kazi ya Uzalendo anayofanya na Katibu wa Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania (AWAMATA) Merinah Millensasha (kulia) na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto wa asasi hiyo, Mohamed Shaban.[/caption] [caption id="attachment_29399" align="aligncenter" width="972"] Cheti cha pongezi alichokabidhiwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbasi kwa kutambua kazi ya uzalendo anayoifanya.
Picha na Idara ya Habari - MAELEZO[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi