Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa usimikaji wa mfumo wa rada nne za kuongezea ndege katika viwanja vya ndege vya Kilimanjaro, Mwanza, Julius Nyerere na Songwe. Hafala hiyo ilifanyika leo Jumatatu April 2, 2018 Jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi Wetu-MAELEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa kukamilika kwa mradi wa usimikaji wa mfumo wa Rada mpya katika viwanja vinne vya ndege nchini, kutalifanya anga la Tanzania kuwa salama...
Read More