[caption id="attachment_30466" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Mhe.Jecha Salim Jecha alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano mara walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na wajumbe wake.[/caption] [caption id="attachment_30467" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa kipindi cha miaka mitano (ZEC) kutoka kwa Mhe. Jecha Salim Jecha alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Wajumbe wa Tume yake leo.[/caption] [caption id="attachment_30468" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jecha Salim Jecha mara baada ya kukabidhi Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume hiyo leo kwa kipindi cha miaka mitano walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_30469" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jecha Salim Jecha (wa tatu kushoto) mara baada ya kukabidhi Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume hiyo leo kwa kipindi cha miaka mitano walipofika Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu.] 17/04/2018.[/caption]