[caption id="attachment_31081" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile (kulia) akiongea wakati wa uzinduzi wa Bodi Tendaji ya kwanza ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Mkemia, Dar es Salaam. Kushoto (waliokaa) ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Profesa Esther Hellen Jason na Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko.[/caption]
Na Jacquiline Mrisho.
Bodi Tendaji ya Mamlaka ya Mkemia Mkuu wa Serikali...
Read More