Aliye wahi kuwa Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali wa Wizara ya Fedha na Mipango, katika Serikali ya Awamu ya Nne, Bw. Ramadhani Musa Khijjah (65), amefariki dunia alfajiri ya kuamkia leo katika eneo la Jet Lumo, wilayani Temeke, mkoani Dar es Salaam.
Maziko yatafanyika kesho April 18, katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam, saa 10 jioni.
Msiba uko nyumbani kwa marehemu Ramadhan Khijjah katika eneo la Jet Lumo, Yombo Malawi Hospital-Temeke.
Marehemu Ramadhani Khijjah aliteuliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho...
Read More