[caption id="attachment_30455" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wachezaji wa timu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakisikiliza kwa makini maelekezo mbalimbali yanayotolewa na viongozi wa kamati ya michuano ya Kombe la Mei Mosi katika kikao kilichofanyika jana kwenye uwanja wa Samora, yakiwa ni maandalizi ya michuano hiyo iliyoanza jana [/caption]
Na Bahati Mollel-TAA, Iringa
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na rushwa nchini (TAKUKURU), itafanya ukaguzi wa wachezaji wanaoshiriki kwenye michuano ya Kombe la Mei Mosi inayofanyika kw...
Read More