[caption id="attachment_31044" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia maelfu ya wananchi waliohudhuria sherehe za Mei Mosi Uwanja wa CCM Samora mjini Iringa jana.[/caption] [caption id="attachment_31045" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi waliohudhuria sherehe za Mei Mosi Uwanja wa CCM Samora mjini Iringa jana.[/caption] [caption id="attachment_31046" align="aligncenter" width="750"] Wabunge wa Mkowa wa Iringa wakisimama kumsalimia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye sherehe za Mei Mosi Uwanja wa CCM Samora mjini Iringa jana.[/caption] [caption id="attachment_31047" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kiongozi wa kimila wa kabila la Wahehe Chifu Adam Mkwawa wakati wa sherehe za Mei Mosi Uwanja wa CCM Samora mjini Iringa jana.[/caption] [caption id="attachment_31048" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akisalimiana na kiongozi wa kimila wa kabila la Wahehe Chifu Adam Mkwawa wakati wa sherehe za Mei Mosi Uwanja wa CCM Samora mjini Iringa jana. (Picha na Ikulu)[/caption]