Na Tiganya Vincent - RS Tabora
SERIKALI imesema itawachukulia hatua watu wote ambao watakutwa wakiwatumia watoto kuvuna pamba, tumbaku, mpunga na mazao mengine jambo linalosababisha kuwa watoro na kushindwa kuhudhuria masomo.
Kauli hiyo ilitolewa jana Wilayani Igunga na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati akiongea na Maafisa Watendaji wa Kata, Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule na Walimu wakuu.
Alisema vitendo vya kuwatumia watoto kipindi hiki katika kazi mashambani limechangia Mkoa wa Tabora kuwa miongoni mwa maeneo hapa nchini yana...
Read More