Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imekusanya sh. Bil 98,140,621,387.54 kutoka vyanzo vyake mbalimbali vya mapato kwa mwaka 2016/2017, imeelezwa.
Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAA, Bw. Richard Mayongela wakati akisoma taarifa fupi ya uendeshaji wa viwanja vya ndege vinavyosimamiwa na serikali kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge iliyofanya ziara kwenye Jengo la Kwanza la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TB1) na kituo cha Zimamoto cha kiwanja hicho.
Bw. Mayongela amesema cha...
Read More