Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

MKURABITA Yakabidhi Hati Miliki 661 za Ardhi Wilayani Ikungi
Jul 28, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_33951" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Miraji Mtaturu mara baada ya kuwasili wilayani hapo kwa ajili ya zoezi la kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405. Katikati Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Bibi. Rustika Turuka.[/caption] [caption id="attachment_33952" align="aligncenter" width="1000"] Mtendaji Mkuu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Bibi. Seraphia Mgembe akijadiliana na jambo na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Mtaturu (katikati) mara baada ya kuwasili wilayani hapo kwa ajili ya zoezi la kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405. Kulia ni Mtaalam wa Mawasiliano wa MKURABITA, Bibi. Gloria Mbilimonywa na Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya MKURABITA, Bw. Emmanuel Mayeji (wapili kushoto).[/caption] [caption id="attachment_33953" align="aligncenter" width="870"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay akisisitiza jambo wakati wa haflka ya kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405. Kutoka kushoto ni Mratibu wa MKURABITA, Bibi. Seraphia Mgembe na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtaturu.[/caption] [caption id="attachment_33954" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay akisisitiza jambo wakati wa haflka ya kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405. Kutoka kushoto ni Mratibu wa MKURABITA, Bibi. Seraphia Mgembe na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtaturu.[/caption] [caption id="attachment_33956" align="aligncenter" width="916"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), NBalozi Daniel Ole Njolay akikabidhi a Hati za Hakimiliki za Kimila wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405. Kutoka kushoto ni Mratibu wa MKURABITA, Bibi. Seraphia Mgembe na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtaturu.[/caption] [caption id="attachment_33957" align="aligncenter" width="1000"] Mtendaji Mkuu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Bibi. Seraphia Mgembe akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Kapteni Mstaafu John Chiligati, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya MKURABITA, Balozi Daniel Ole Njolay na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtaturu.[/caption] [caption id="attachment_33958" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi aliyemaliza muda wake Kapteni Mstaafu John Chiligati akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405.[/caption] [caption id="attachment_33960" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wananchi waliopatiwa Hati za Hakimiliki ya Kimila wakisoma hati zao wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405.[/caption] [caption id="attachment_33961" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Urasimishaji Ardhi toka MKURABITA, William Werema akiwapongeza baadhi ya wananchi waliokabidhiwa Hati zao za Hakimiliki ya Kimila wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405.[/caption] [caption id="attachment_33962" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay (aliyejifunika shuka) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi waliokabidhiwa Hati za Hakimiliki za Kimila wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 661 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Kimbwi na Nkununkhana kata ya Puma wilayani Ikungi jana. Hati hizo zimetolewa ikiwa ni muendelezo wa zoezi la urasimishaji wa mashamba katika maeneo hayo lililoanza mwaka 2011 na kufanyika kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza zilitolewa hati 405. (Picha zote na: Frank Shija, MAELEZO, Ikungi, Singida)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi