[caption id="attachment_35006" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akizungumza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali kuimarisha sekta ya nishati hapa nchini, ili kuchochea ujenzi wa uchumi wa viwanda, wakati wa semina kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini leo Jijini Dodoma.[/caption]
Na: Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma
Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja Umetajwa Kusaidia Upatikanaji wa Nishati hiyo Kuwa wa uhakika na kuzuia kupanda kwa Bei Kiholela Katika Kipindi cha Miaka 2 iliyopita...
Read More