[caption id="attachment_35553" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kuhusiana na ajali ya kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake kati ya kisiwa cha Bugolora na Ukara katika ziwa Victoria Wilayani Ukerewe mkoani Mwanza ambapo watu 131 wanahofiwa kupoteza maisha. Pia Rais Dkt. Magufuli ametangaza siku nne za Maombolezo kuanzia leo tarehe 21 Septemba 2018. PICHA NA IKULU[/caption]