TUNAHITAJI WAWEKEZAJI KWENYE MAZAO YA KILIMO, SAMAKI NA MIFUGO-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania inahitaji wawekezaji wakubwa kutoka China ambao watawekeza kwenye viwanda vya mazao ya kilimo, samaki na mifugo.
Aliyasema hayo jana (Jumatatu, Septemba 03 ,2018) wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo wa China, Bw. Han Changfu, jijini Beijing.
Alisema katika kipindi hiki ambacho Tanzania imeamua kukuza uchumi wake kupitia sekta ya viwanda, China ni nchi sahihi kushirikiana nayo kwa sababu inawawekezaji...
Read More