TAARIFA KWA UMMA
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaratibu maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani, yatakayofanyika Jumatatu ya tarehe 01 Oktoba, 2018 ambapo wadau watashiriki ikiwa ni pamoja na wananchi. Maadhimisho hayo yatatanguliwa na Salamu za Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William V. Lukuvi (MB) zitakazorushwa na Luninga ya TBC zikipeleka ujumbe huo kwa wananchi.
Shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia makazi duniania (UN Habitat) hutoa kaulimbiu itakayoongoza tafakari ya kila mwaka. Mwaka huu, 201...
Read More