Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Biteko Amtaka Mwekezaji Eneo la Uchimbaji Lugoba Alipe Fidia Wananchi
Oct 12, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_36658" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuzuiwa kwa Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Tan Turk Stone Quarry yailiyopo katika eneo la uchimbaji wa uchakataji wa Kokoto la Lugoba mkoani Pwani wakati wa ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi jana. Kampuni hiyo imezuiwa kuendelea na uchimbaji mpaka hapo itakapo walipa fidia wakazi wanaozunguka eneo hilo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Raji Omari na kulia ni Meneja wa mradi Bashir Rajab.[/caption] [caption id="attachment_36659" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akielezea jambo wakati alipokuwa akiangalia moja ya eneo lililo na mwamba kwa ajili ya kuchakata Kokoto katika Mgodi wa Tan Turk Stone Quarry Company iliyopo Lugoba mkoani Pwani.[/caption] [caption id="attachment_36660" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akizungumza na watendaji wa Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Tan Turk Stone Quarry alipotembelea mgodi wao katika eneo la Lugoba mkoani Pwani jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo Raji Omari na kulia ni Meneja Mradi, Bashir Rajab.[/caption] [caption id="attachment_36661" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akiongea kwa simu na mwakilishi wa mmoja wa wamiliki wa leseni ya uchimbaji wa anayesababisha mgogoro katika eneo la Lugoba mara baada ya kusimamishwa njiani na wananchi wakati wa ziara yake ya kikazi katika eneo la uchimbaji wa madini Lugoba mkoani Pwani jana.[/caption] [caption id="attachment_36662" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya YAATE investment co. Ltd, Mhandisi Eugen Mikongoti akimuelezea namna wanavyofanya kazi Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko(wapili kutoka kulia) alipofanya ziara katika mgodi huo unaojihusisha na uchakataji wa Kokoto zinazotumika katika mradi wa ujenzi wa Reli ya Kimataifa ya Standard Gauge (SGR).[/caption] [caption id="attachment_36663" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko(katikati) akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya YAATE investment co. Ltd, James Majenge (kulia) na wakati wa ziara yake katika mgodi huo jana Lugoba mkoani Pwani. 47[/caption] [caption id="attachment_36664" align="aligncenter" width="1000"] Sehemu ya mali ghafi iliyopatikana baada ya kuchakatwa katika kiwanda cha YAATE investment co. Ltd kama yalivyokutwa na mpiga picha wetu jana Lugoba mkoani Pwani. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO, Pwani)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi