Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri Biteko Amaliza Mgogoro Eneo la Mgodi wa Mable Mikese Mkoani Morogoro
Oct 12, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_36667" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro alipotembelea ofisi za chama hicho mkoani hapo jana. Naibu Waziri huyo alikuwa mkoani hapo kwa ziara ya kikazi ya kutembelea mgodi wa Mable unaomilikiwa na Kampuni ya Zhong Fa Construction Material Group Co. Ltd uliopo Mikese Miseyu kata ya Gwata mkoani Morogoro jana.[/caption]   [caption id="attachment_36669" align="aligncenter" width="788"] Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Zhong Fa Construction Material Group Co. Ltd, Bw. Alston Zhiling Yi (kulia).Kampuni hiyo inajishughulisha na uchimbaji na utengenezaji wa mali ghafi za ujenzi aina ya Mable katika eneo la Mikese Miseyu kata ya Gwata mkoani Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_36670" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akizungumza na wafanyakazi pamoja na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Miseyu mkoani Morogoro alipokuwa katika ziara ya kutembelea na kusikiliza kero za wananchi wanaozunguka mgodi wa madini ya Mable unaomilikiwa na Kampuni ya Tanzania Zhong Fa Construction Material Group Co. Ltd jana mkoani Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_36671" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini akielezea jambo wakati wa mkutano baina ya Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko (kulia) na wafanyakazi pamoja na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Miseyu mkoani Morogoro alipokuwa katika ziara ya kutembelea na kusikiliza kero za wananchi wanaozunguka mgodi wa madini ya Mable unaomilikiwa na Kampuni ya Tanzania Zhong Fa Construction Material Group Co. Ltd jana mkoani Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_36672" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akisikiliza maelezo kutoka kwa mwakilishi wa Kampuni ya Buddha Mining and Explorers alipokuwa akitatua mgogoro baina ya Kampuni hiyo na Kampuni ya Kampuni ya Tanzania Zhong Fa Construction Material Group Co. Ltd alipofanya ziara katika mgodi wa uchimbaji madini ya Mable jana mkoani Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_36673" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wafanyakazi na wananchi wa kijiji cha Miseyu mkoani Morogoro wakimsikiliza Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko alipokuwa akizungumza naokuhusu kumalizika kwa mgogoro wa eneo la mgodi wa madini ya Mable unaomilikiwa na Kampuni ya Tanzania Zhong Fa Construction Material Group Co. Ltd uliopo katika kijiji hicho jana mkoani Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_36674" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya bidhaa zitokanazo na madini ya Mable zilizotengenezwa katika kiwanda cha Tanzania Zhong Fa Construction Material Group Co. Ltd kilichopo Mikese Miseyu mkoani Morogoro.[/caption] [caption id="attachment_36675" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya mitambo inayotumika kuchakata madini ya Mable katika eneo la mgodi wa madini ya Mable unaomilikiwa na Kampuni ya Tanzania Zhong Fa Construction Material Group Co. Ltd uliopo katika kijiji hicho jana mkoani Morogoro. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO, Morogoro)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi