[caption id="attachment_36684" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mhandisi wa maji Wilaya Kongwa Kaitaba Lugakingira, wakati akimuonesha kisima cha maji kwenye mradi wa maji wa Kongwa mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018.[/caption] [caption id="attachment_36685" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa daraja kwenye barabara ya Mbande - Kongwa mkoani Dodoma, Oktoba 11, 2018.[/caption] [caption id="attachment_36686" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Kata ya Mbande wilayani Kongwa Dodoma, aliposimama njiani na kuzungumza nao, Oktoba 11, 2018.[/caption] [caption id="attachment_36687" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua majengo ya mradi wa machinjio ya kuku wilayani Kongwa Dodoma, Oktoba 11, 2018[/caption] [caption id="attachment_36688" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mashine za kukamulia mafuta ya alizeti, wakati alipotembelea kiwanda cha Com Food Products kilichopo wilayani Kongwa Dodoma, Oktoba 11, 2018.[/caption]