Na; Mwandishi wetu
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kuimarisha miundombinu yausambazaji maji katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ili kuchochea maendeleo na ustawi wa wananchi.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo imeeleza kuwa kazi ya kuunga mtandao mpya katika bomba la nchi 48 kutoka mtambo wa Ruvu juu imekamilika hali itakayowawezesha wananchi wa Msigani, Malamba, Mbezi kwa Yusuph, Temboni, Goba, Makabe na kwa Msuguri kupata huduma ya maji ya uhakika.
Faida za kupanua mtand...
Read More