Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wajasiriamali Mkoani Tabora Wampongeza Rais Magufuli kwa Kuwatambua Rasmi
Dec 19, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_39041" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiwahutubia Wajasiriamali mkoani humo kabla ya kuanza maandamano maalumu jana waliyoandaa ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuwatambua rasmi ya kuwapatia vitambulisho.[/caption] [caption id="attachment_39042" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Wajasiriamali wa Manispaa ya Tabora wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tabora (hayupo katika picha) kabla ya kuanza maandamano maalumu jana waliyoandaa ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuwatambua rasmi ya kuwapatia vitambulisho.[/caption] [caption id="attachment_39043" align="aligncenter" width="1000"] Maandamano maalumu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuwatambua rasmi ya kuwapatia vitambulisho yaliyoandaliwa na Wajasiriamali wa Manispaa ya Tabora[/caption] [caption id="attachment_39045" align="aligncenter" width="1000"] Maandamano maalumu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuwatambua rasmi ya kuwapatia vitambulisho yaliyoandaliwa na Wajasiriamali wa Manispaa ya Tabora yakiingia kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora tayari kwa kugawiwa vitambulisho jana.[/caption] [caption id="attachment_39046" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Wajasiriamali wa Manispaa ya Tabora na viongozi mbalimbali wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tabora (hayupo katika picha) kabla ya kuanza kugawa vitambulisho vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya Wajasiriamali.[/caption] [caption id="attachment_39047" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (wenye Tshirt ya Njano) akimkabidhi vitambulisho 6250 jana Mkuu wa Wilaya ya Nzega Godfrey Ngupula (kushoto) kwa ajili kwenda kuwagawia Wajasiriamali wilayani kwake.[/caption] [caption id="attachment_39048" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akimvisha kitambulisho jana Katibu Msaidizi wa Wajasiriamali Manispaa ya Tabora Ashura Rashid baada ya aaandamano maalumu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuwatambua rasmi ya kuwapatia vitambulisho yaliyoandaliwa na Wajasiriamali wa Manispaa ya Tabora.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi