Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mhe. Kapt. George Mkuchika akikata utepe wakati akizindua vyumba vinne vya madarasa, matundu nane ya vyoo na kukagua ujenzi wa bweni la wanafunzi katika Shule ya Sekondari ya Kingolwira iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa Morogoro mkoani Morogoro leo Oktoba 26, 2024 .
Read More