Waziri Majaliwa Aendelea na Ziara Wilayani Ruangwa
Nov 18, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasalimia katika Kijiji cha Nambilanje wilayani Ruangwa, Novemba 18, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa pole kwa Mzee Abdallah Mussa Mkwindinga ambaye watoto wake wawili walipoteza maisha katika tukio lililohusisha wakulima na wafugaji katika kijiji cha Nambilanje wilayani Ruangwa, alikuwa katika ziara wilayani humo, Novemba 18, 2022. Wa pili kushoto ni Mzee Bakari Omari.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa pole kwa familia ya mzee Abdallah Mussa Mkwindinga ambaye watoto wake wawili walipoteza maisha katika tukio lililohusisha wakulima na na wafugaji kwenye kijiji cha Nambilanje wilayani Ruangwa, Novemba 18, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama madawati wakati alipokagua ujenzi wa madarasa katika Shule ya Sekondari Chikwale wilayani Ruangwa, Novemba 18, 2022.