Msiwafiche Watoto Wenye Ulemavu - Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wazazi wote nchini ambao wana watoto wenye ulemavu wasiwafiche na badala yake wahakikishe wanapata elimu na kutimiza ndoto zao.
Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana (Jumanne, Juni 6, 2017) wakati akizungumza na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam, walimu na wanafunzi kwenye uzinduzi wa usambazaji wa vifaa vya elimu maalum uliofanyika kwenye viwanja vya ya msingi Uhuru Mchanganyiko, jijini Dar es Salaam.
“Nikiwa mwalimu kitaaluma, natambua kwam...
Read More